Love the dress.... On point... Wapambe nao kiafrika zaidi.....Nice... Umeipenda? Ifanye hii kuwa yako, tumia rangi uzipendazo na style ya kwako lakini ya kiafrika zaidi.
GK Tabasamu tunajishughulisha na upigaji wa picha za Mnato na Video kwenye sherehe mbalimbali kama Harusi, Kitchen Party, Sendoff, Kipaimara, Warsha na Makongamano . Tunapatikana jijini Dar es salaam na huduma zetu ni kwa maeneo yote nnje na ndani ya Dsm.wasiliana nasi kwa namba zilizopo hapo juu au kupitia email yetu gktabasamu@gmail.com